MC Podoa amefunguka Mwanzo mwisho yanayoendela kwenye masaluni ya kiume Burbarshop Yeye ni mmoja kati ya waliofanya kazi hio kwa muda mrefu Na akaamua kuachana nazo kwani wadada hao hawaeshimiki katika jamii ila wanasaidia watu kuwa vizuri.
Mc huyo ameendelea kuiambia Global Tv kuwa sasa hivi amestirika kwa kupata ndoa na Mungu kamjalia watoto wa Nne na anafanya kazi ya MC na kufunda watu pia.