×

Wimbo mpya ‘Utanipenda’ wamtoa machozi Diamond!

STAA wa Bongo fleva, Nasbu Abdul ‘Diamond’ kupitia akaunti yake ya Instagram amefunguka jinsi alivyoumizwa na kipande cha video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Utanipenda’, scene inayomuonesha mama yake mzazi Sandra akitimuliwa kwa Jakaya Kikwete na hata pale alipokwenda nyumbani kwa Said Fella, napo mama Diamond akafukuzwa tena.
Kipande hiki kimemtoa machozi Diamond na kumhudhunisha hata kumkosesha raha mara kadhaa kila anapokuwa akiangalia video yake hiyo.

Hiki ndicho alichokiandika Diamond kwenye akaunti yake ya Instagram kuhusu scene hiyo.

Leave a Comment