



Msanii Q Chilla amemsifia msanii mwenziye wa Bongo Fleva, Jux, kwa kuwa mfano bora wa kuigwa katika tasnia hiyo ya burudani ambapo alipata fursa ya kuimba naye stejini katika Tamasha la Fiesta usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam.
PICHA: MUSA MATEJA/GPL