Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA), Suleiman Saidi Lolila, akitoa ufafanuzi wa jambo mara baada ya kusoma taarifa yake kwa wanahabari (hawapo pichani).
Lolila akionesha msisitizo wa jambo mbele ya wanahabari (hawapo pichani).
Wanahabari wakichukua tukio hilo.


