×

Vunja Mbavu

Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu.

Kama ubinadamu kazi mbona hatupewi mishahara?

Ukichanganya wali na choroko unapata mseto, lakini hautibu malaria.

Hata Moshi ni mji lakini hautokani na moto

Hata uwe na haraka vipi kwenda Zenji, huwezi kupanda Jahazi ya Mzee Yusuf

Umeme hauna kiuno lakini unaongoza kwa kukatika

Hata kizibo ni mfuniko lakini hauwezi kufunika sufuria

2 Comments

Leave a Comment