The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Category

Vichekesho

Mshua, Tupe Mizigo Yetu!

Wiki iliyopita nilikuwa Mtwara natafuta fursa ili nami niwe pedeshee, nilipe kodi na nimiliki kavideo-kwin ka nguvu niweke heshima mtaani. Unajua mwaka jana ilikuwa ukitaka kuweka heshima uwe na Bongomuvi, mambo yameshageuka sasa ni ishu ya…

Oya mwana Kobe hapimwi homa!

Inakuwaje masela na maduu wote kwa kitaa ya kona mbaya? Ni waya? Laifu linakwendaje majamaa? Kipande hii mambo flengaflenga haina kwere aisee arifu. Ama nene? Kaa huku mtu mzima nimeshatimba kwa jamvini kukupa maujanja. Welikamu kwa sana…

Oya masela gunia tupu halisimami!

Makachaa na maduu wangu niaje…ni vepe? Wooza! Kipande hii ni shwari ileile. Ndo kama hivo mtu mzima nimeshatimba kwa fasi ya jamvini kukinukisha. Ebana mambo ya holidei ya kitu cha Pasaka si yalikuwa yechuyechu kwenye mstari machalii? Dah!…

Mzamiaji harusini utamjua tu

ZAMANI ilikuwa nadra kwa mtu kuzamia kwenye harusi bila kuwa na mwaliko lakini siku hizi suala hilo limekuwa dili sana hususan harusi zile za wenye kipato cha kati. Wapo wanaozamia kwenye harusi hizo na ukitaka kumjua mzamiaji ni rahisi.…

Amnyatia mkewe akioga

Baada ya wiki iliyopita kuwaelezea nilipotinga kijijini kwetu na kuopoa totoz. Leo hii tunaendelea tena na kona yangu ya Zee la Chabo. Unajua toto lilikuwa jeupe utafikiri limeumbwa mchana kweupe. Kila alipoulizwa juu yangu alikubali bila…

Chezea waosha magari wewe!

Sasa jamani mbona hivyo tena? Mi sio mhariri wa hili gazeti sasa mbona mnaniletea maswali magumu? Yaani kuna mdada kanitumia barua juzi anataka ushauri nimebaki nimeduwaa sina la kusema kabisa. Ninachoweza kusema ni kuwa sasa nina uhakika…

Binamu, zingatia haya Daisalamu

Leo asubuhi nimeletewa barua binamu yangu anataka kuja kunitembelea huku Daisalamu. Nimefurahi sana sijamuona siku nyingi, lakini ngoja nimuandikie barua ajitayarishe kisaikolojia na vituko vya  Daisalamu. Binamu yangu mpendwa, vipi…

Anaswa akichana wavu wa dirisha

Jamaa mmoja aliyejulikana kwa jina la Athumani mkazi wa Keko Mwanga, jijini Dar amenaswa akichana wavu wa dirisha la nyumba moja mtaani hapo na kushushiwa kipigo cha kufa mtu hali iliyomfanya ajitetee na kudai kuwa alikuwa akichana wavu huo…

Oyaa wadada wa redio, dili hilo!

UZURI wa sie Wabongo tunajali sana ndugu zetu, na hasa sie wa kizazi cha zamani ambao bado tuna mawasiliano na ndugu zetu kijijini. Tunajua kabisa usipomtendea vizuri ndugu yako toka kijijini, akirudi huko anaweza akatengeneza mambo fulani,…

Vunja Mbavu

Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu. Kama ubinadamu kazi mbona hatupewi mishahara? Ukichanganya wali na choroko unapata mseto, lakini hautibu malaria. Hata Moshi ni mji lakini hautokani na moto Hata uwe na…

Wewe Nitakupeleka Polisi

Padri alikuwa akiwaungamisha waumini wa kanisa lake huku kila mmoja akitaja dhambi zake waziwazi moja baada ya nyingine kisha padri anawaombea kwa Mungu na kuwataka wasirudie tena. Ikaja zamu ya muumini mmoja… “…dhambi zangu ni hizi……

Unachepuka? Soma hapa!

Kuna hiki kidude ambacho siku hizi karibu kila mtu anacho. Wakubwa wadogo, wazee na vijana, wake kwa waume, lakini kimekuwa ni shiiida. Kinasumbua sana watu wengi.  Mtu unakuwa huna raha kabisa shauri ya kidude hiki? Jamani Why? Kidude…

Majipu hadi kwenye ndoa?

Sasa mambo yamepamba moto, hii ishu ya kutumbua majipu imefika mahala pake dahh. Juzi nilipata kazi ya kuwa mshenga. Rafiki yangu f’lani ambaye mambo ya fedha kwake si tatizo, ila tatizo ni namna ya kuzitumia, kaniomba niwe mshenga wake.…

Ziara hizi za kushtukiza, khaa!

Mimi ni msomaji mzuri wa magazeti na msikilizaji mzuri wa redio, huwa naangalia runinga mara chache nikibahatika kupita mahala kuna runinga. Sasa wiki hii nimesikia mengi kuhusu hizi ziara za kushtukiza za viongozi wetu, nikaona hili ni…