×

‘Birthday’ ya Nicolaus Trac yafunika Maisha Basement

IMG_7277

Meneja Masoko wa  Maisha Basement, Gilla, akimkaribisha Mfanyakazi wa Global, Nicolaus Trac (kushoto) akiwa na Video Queen wa Bongo, Kidoa Salum ‘Akadumba’,  katika usiku wa kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Nicolaus Trac uliofanyika Maisha Basement jijini Dar usiku wa kuamkia leo.

IMG_7292 IMG_7355

Kidoa akikata keki na Nicolaus.

IMG_7363

Msanii wa Filamu Bongo, Salima Jabu ‘Nisha (katikati) akiongea jambo, akiwa na DJ Choka (kulia) na Kidoa Salum (kushoto).

IMG_7359

Kidoa akisalimiana na Nisha.

IMG_7365

Nicolaus Trac akimlisha keki Nisha.

IMG_7368

Dj Choka akilishwa keki.

IMG_7308

Meneja wa Burudani wa Maisha Basement, Hemed Kavu ‘HK’ akimulisha keki Birthday Boy, Nicolaus Trac.

IMG_7311

Nicolaus akimlisha keki Clarence Mulisa.IMG_7330

Msanii wa Nyimbo za Asili Bongo, Dat akilishwa keki.

IMG_7335

Meneja Masoko wa Maisha, Gilla ‘The Boss’ akilishwa keki.

IMG_7352

Meneja Masoko wa Global Publishers, Innocent Mafuru, akilishwa keki.

IMG_7323

Kidoa Salum akilishwa keki na shabiki wake.IMG_7325-001

Kidoa (kulia) akimlisha keki shabiki yake.IMG_7328

Musa Mateja (kushoto) akilishwa keki

IMG_7370

IMG_7376

Hemed Kavu ‘HK’ (kushoto) akimtambulisha Nisha kwa mashabiki wake (hawapo pichani) kabla ya kutambulisha muvi yake mpya ya ‘Kiboko Kabisa’ ndani ya Maisha Club.

IMG_7390 IMG_7394Nisha akionyesha mbwembwe zake kwa kucheza kwa madoido.

(PICHA: MUSA MATEJA/GPL)

Leave a Comment