×

Picha: Arsenal hoi kwa Man U, yapigwa 3-2

7 8

1 2 3 4 5 6

Manchester United wameibuka kidedea kwa kuichapa Arsenal mabao 3-2 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England iliyopigwa Uwanja wa Old Trafford.

Mabao ya Man U yamefungwa na Marcus Rashford aliyetupia mawili na Ander Herrera huku
Danny Welbeck na Mesut Ozil wakifunga mabao ya  Arsenal.

 

Leave a Comment