Mkurungenzi wa EFM redio Francis Siza katika picha ya pamoja na Mh. Paul Makonda alipotembelea kituo hicho.
Mh. Paul Makonda akizungumza na baadhi ya waandishi wa habari wa Efm Redio.
Mh. Paul Makonda akiwa studio akiongea na baadhi ya watangazaji wa kipindi cha UHONDO ambao ni Dina Marios, Swebe Santana pamoja na Sofia Amani.
Akiwa katika kitengo cha mauzo na masoko cha EFM redio akizungumza na maafisa masoko wa kituo hicho.
Mh. Paul Makonda akiwa chumba cha uzalishaji(Production) cha EFM redio.
…akiwa katika kitengo cha utafiti, mawasiliano na ubunifu
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda jana alitembelea kituo cha redio cha Efm kilichopo Kawe jijini Dar na kuzungumza na baadhi wa wafanyakazi wa kituo hicho.
(Na Gabriel Ng’osha)