
Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Mh.James Mbatia.
Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Mh. James Mbatia amethibitishwa na mahakama kuu kuwa mbunge halali wa jimbo hilo baada ya kesi yake kuamliwa leo na Mahakama. Kesi hiyo ya uchaguzi katika Jimbo la Vunjo ilifunguliwa na aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo, Augustino Lyatonga Mrema.