×

Nwankwo Kanu atembelea Studio za EFM

1

Nwankwo Kanu akihojiwa katika Studio za EFM.

2

5

6

7

4

3Picha za matukio mbalimbali baada ya Mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Nigeria na Club za Ajax, Inter Milan, Arsernal na Portsmouth, Nwankwo Kanu alipotembelea studio za EFM.

Mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Nigeria na Club za Ajax, Inter Milan, Arsernal na Portsmouth, Nwankwo Kanu ambaye pia ni Balozi wa Startimes leo ametinga katika Kituo cha Redio cha Efm kilichopo Kawe jijini Dar na kufanya mahojiano ya moja kwa moja katika Kipindi cha SportsHeadquarters.

uli, Nwankwo Kanu akiwa katika Kituo cha Redio cha Efm pamoja na wafanyakazi wa kituo hicho.

(Na Gabriel Ng’osha/GPL)

Leave a Comment