×

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Atembelea Jimbo Lake la Ruangwa

IMGS0960   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wananchi baada ya kuwasili katika kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa kuhutubia mkutano wa hadhara Aprili 10, 2016.

IMGS1001Mmoja wa wananchi wa  kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa (jina halikupatikana) akimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati aipohutubia mkutano wa hadhara  kijijini hapo, Aprili 10, 2016.

IMGS1070Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa akisalimiana na mwendesha pikipiki maarufu na hodari, Zaina Amour wa kijiji cha Nandagara wilayani Ruangwa Aprili 10, 2016. Alikuwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa.

 
IMGS1078Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa na Mkuu wa mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi  wakizungumza   na mwendesha pikipiki maarufu na hodari, Zaina Amour wa kijiji cha Nandagara wilayani Ruangwa Aprili 10, 2016. Alikuwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

Leave a Comment