Felister Ombory (katikati) akiwa na ndugu na jamaa waliofika kwenye hafla hiyo katika pozi.
Felister akishikilia keki yake iliyokuwa imeandaliwa.
…Akisaidiwa kukata keki na baadhi ya marafiki zake.
Keki iliyokuwa imeandaliwa.
Mambo yote yalikuwa ni furaha kwa kwenda mbele.
Pozi mbalimbali zikitawala kwenye hafla hiyo.

KATIBU wa Kampuni ya Mikopo kwa Wafanyakazi Wadogo yenye makao yake Bamaga- Mwenge jijini Dar, Secretary, Felister Ombory, jana alisherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Hafla hiyo ilifanyika jana usiku katika mgahawa wa Asteria uliopo Bamaga jijini Dar ambapo ndugu, jamaa na marafiki walihudhuria hafla hiyo, huku mzaliwa akionekana kukata keki na mwenye furaha.
NA DENIS MTIMA/GPL