×

Beckham hajiwezi kwa mkewe

1444135815_david-victoria-beckham-zoomDavid Beckham na Victoria

MCHEZAJI wa zamani nanahodha wa England David Beckham (40) ambaye amestaafu soka kwa sasa, ameonesha hajiwezi kwa mkewe, Victoria baada ya kuweka hisia zakenwazi kwenye mitandao ya kijamii.

 Kupitia ukurasa wake wa Instagram,Beckham aliyewahi kutamba na timu ya nManchester United aliandika maneno ya kimahaba kumpongeza mkewe huyo

aliyekuwa akitimiza miaka 42. “Heri ya kuzaliwa kipenzi changu.Umeniteka kwa sababu unastahili kutekwa

na mumeo pia. Kwa miaka 42 uliyokuwa nayo najihisi kama ndiyo umezaliwa…heri ya kuzaliwa nakupenda,” aliandika Beckham.

KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, DOWNLOAD NA INSTALL APP HII ILIYOPO KWENYE PLAY STORE YAKO==>VODACOM M-PAPER APP

*********

JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:

KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA

INSTAGRAM: @Globalpublishers

TWITTER: @GlobalHabari

FACEBOOK: @GlobalPublishers

SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers

GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com

HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz

Leave a Comment