Na Hamida Hassan
Staa wa filamu za Kibongo, Tamrina Posh ‘Amanda’ ameibuka na kusema kuwa amejifunza kuwa msiri kwenye uhusiano wa kimapenzi na sasa atamuanika mpenzi wake atakapokaribia kufunga ndoa.
Akipiga stori na Ijumaa Amanda alisema kuwa, siku hizi amekuwa hapendi kuweka wazi kajiweka kwa mwanaume gani kutokana na historia ya maisha yake ilivyoathirika kwa kujianika.
“Yaani mtu akiniuliza kuhusiana na mahusiano yangu anakuwa ananichokoza kwa sababu sipo tayari kuyaanika tena na sitakaa nikaongelea tena kuhusu maisha yangu ya kimapenzi yaliyopita wala ya sasa. Kumuanika hubby wangu ni mpaka ndoa,” alisema Amanda.
KUFAHAMU YOTE HAYA NA MENGINE, NUNUA GAZETI LA IJUMAA, LEO April 22, 2016
KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP
*********
JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:
KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA
INSTAGRAM: @Globalpublishers
TWITTER: @GlobalHabari
FACEBOOK: @GlobalPublishers
SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers
GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com
HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz
