Video Queen ‘hot’ Bongo, Tunda Sabasita na Mwanamuziki David Genze ’Young D’
Stori: Imelda Mtema
Video Queen ‘hot’ Bongo, Tunda Sabasita na Mwanamuziki David Genze ’Young D’ eti watafunga ndoa ya siri ili kukwepa manenomaneno ya washakunaku.
Akipiga stori na safu hii, Tunda alidai kuwa, ndoa yao haina siku nyingi lakini wanachotakiwa kujua mashabiki wao ni kwamba haitakuwa na matangazo, mambo yataenda kimyakimya.
“Hivi karibuni mtasikia tu nimeshakuwa mke wa mtu, ni kwa sababu tunataka kufunga ndoa ya siri kukwepa maneno ya watu maana kila tukipanga mambo ya harusi yanaibuka mambo, tunajikuta tumeshagombana na mpenzi wangu,” alidai Tunda.
KUFAHAMU YOTE HAYA NA MENGINE, NUNUA GAZETI LA IJUMAA, LEO April 22, 2016
KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP
*********
JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:
KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA
INSTAGRAM: @Globalpublishers
TWITTER: @GlobalHabari
FACEBOOK: @GlobalPublishers
SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers
GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com
HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz