Msaga Sumu akitawala jukwaa la Dar Live.
ANDREW CARLOS
MASHABIKI wa Kibao Msambwanda, Singeli, Bongo Fleva, Mduara na Mchiriku wanatarajia kukata kiu yao kesho (Aprili 23) ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar kwenye shoo ijulikanayo kama
Usiku wa Uswazi. Akizungumza na mwandishi wetu, mratibu wa shoo hiyo, Ester Kiama alisema kuwa usiku huo utapambwa na kali kibao ambao ni Juma Nature, Msagasumu, Snura, MC Soudy, Man Fongo, Sholo Mwamba na wengine kibao.
“Utakuwa ni usiku wa bandika, bandua na niwaambie tu mashabiki wote wataserebuka mpaka kuchwee kwa kiingilio cha shilingi 7,000 tu,” alisema Ester
KUFAHAMU YOTE HAYA NA MENGINE, NUNUA GAZETI LA IJUMAA, LEO April 22, 2016
KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP
*********
JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:
KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA
INSTAGRAM: @Globalpublishers
TWITTER: @GlobalHabari
FACEBOOK: @GlobalPublishers
SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers
GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com
HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz