Angetruda Millinga anayedai kupotelewa na mume.
RUVUMA: Inauma sana! Angetruda Millinga ambaye alikuwa mke wa Benedict Mlaponi ameibuka na kusema yeye na watoto wake watano, wanamuomba Rais Dk. John Pombe Magufuli ‘JPM’ kuingilia kati sakata la kupatikana kwa mirathi ya mumewe huyo aliyepotea tangu mwaka 2005.
Benedict Mlaponi anayedaiwa kupotea zaidi ya miaka kumi iliyopita.
MKE AFUNGUKA MAZITO
- Ilikuwa Oktoba 13, 2005 ndiyo mara ya mwisho kumwona mume wake ambapo alimuaga anakwenda safiri ya kikazi Dar.
- Mkuu wake wa kazi alipoona mtumishi wake hayupo kazini kwa zaidi ya miezi 6 bila taarifa aliandika barua ya kumfukuza kazini.
- Mke atoa ripoti polisi na mahakama kujiridhisha kwamba hapatikani.
- Mama huyo awaomba wanaharakati kumsaidia kupata mirathi hiyo kwani amekuwa akiteseka kwa kuwalea watoto hao pekee yake tangu mwaka 2005.
- Simulizi yake inasikitisha sana!
KUFAHAMU YOTE HAYA NA MENGINE, NUNUA GAZETI LA IJUMAA, LEO April 22, 2016
KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP
*********
JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:
KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA
INSTAGRAM: @Globalpublishers
TWITTER: @GlobalHabari
FACEBOOK: @GlobalPublishers
SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers
GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com
HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz