Kaimu Katibu tawala wa Wilaya ya Kibaha, Anathory Mhango(watatu kushoto) kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya hiyo akikata utepe kuzindua duka jipya la Vodacom Tanzania ”Service desk” lililopo Mlandizi Mkoa wa Pwani, Wengine kutoka kushoto Meneja wa duka hilo,Godfrey Lyimo, Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo Matina Nkurlu, Mkuu wa kitengo cha wateja wa rejareja Vodacom, Brigita Stephen na Meneja Mauzo wa kanda hiyo, James Kigodi.

Kaimu Katibu tawala wa Wilaya ya Kibaha, Anathory Mhango(wapili kushoto)kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya hiyo akikata keki kuashiria uzindua wa duka jipya la Vodacom Tanzania ”Service desk” lililopo Mlandizi Mkoa wa Pwani, Wengine kutoka kushoto Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu, Mkuu wa kitengo cha wateja wa rejareja Vodacom, Brigita Stephen na Meneja Mauzo wa kanda hiyo, James Kigodi.

Mkazi wa Mlandizi Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani,Darueshi Luwanja akilishwa keki na Kaimu Katibu tawala wa Wilaya hiyo, Anathory Mhango kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya hiyo, wakati wa uzinduzi wa duka jipya la Vodacom Tanzania ”Service desk” lililopo Mlandizi, Wengine kutoka kushoto,Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo Matina Nkurlu, Mkuu wa kitengo cha wateja wa rejareja Vodacom, Brigita Stephen na Mkazi wa eneo hilo Abdallah Ahmed.

Kaimu Katibu Tawala wa Wilaya ya Kibaha, Anathory Mhango(wapili kushoto) kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya hiyo akigonganisha glasi na baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania, wakati wa uzindua wa duka jipya la kampuni hiyo ”Service desk” lililopo Mlandizi.

Kaimu Katibu tawala wa Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani, Anathory Mhango(wapili kushoto) kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya hiyo na Mkuu wa kitengo cha wateja wa rejareja Vodacom Tanzania, Brigita Stephen (kushoto)wakimshuhudia Meneja Mauzo wa kanda hiyo, James Kigodi (kulia)akimsajilia namba za simu mteja wa kwanza Janeth Mnzava wakati wa uzinduzi wa duka jipya la kampuni hiyo ”Service desk” lililopo Mlandizi.
