×

Ogopa Kopa kuzinduliwa Mei Dar Live

DSC_4495Khadija Kopa

Na Andrew Carlos
BENDI inayokuja kwa kasi, Ogopa Kopa, ikiongozwa na Malkia wa Mipasho, Khadija Kopa, inatarajiwa kuzinduliwa rasmi Mei 7, mwaka huu ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.

Akizungumza na Championi Jumatatu, mratibu wa uzinduzi huo, Khadija Kopa, alisema shoo hiyo itatambulika kwa jina la Utakosaje ambapo watazindua rasmi albamu mbili kutoka Ogopa Kopa.

“Usiku huo tutazindua albamu mbili yaani Mama Mkubwa na Lady With Confidence, pia tutatambulisha albamu mpya ya Hakuna Mwenye Majibu. Mashabiki wategemee shoo kali kutoka kwa wakali Black Kopa, Shadya Shombe Shombe, Zena na wengine kibao,” alisema Khadija Kopa.

KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP

*********

JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:

KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA

INSTAGRAM: @Globalpublishers

TWITTER: @GlobalHabari

FACEBOOK: @GlobalPublishers

SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers

GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com

HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz

Leave a Comment