×

Airtel Wakishiriki Kujenga Ofisi ya Walimu Mbezi Juu Primary

Caption 1a

Caption 1b

Caption 1c

Wafanyakazi wa Airtel Tanzania, kitengo cha Fedha na Manunuzi wakishiriki katika ujenzi wa ofisi ya walimu ililojengwa kwa hisani ya wafanyakazi wa Airtel kama sehemu ya huduma kwa jamii katika shule ya Msingi Mbezi juu Iliyopo Goba , jijini Dar es Salaam. Airtel kupitia mradi wake wa kusaidia jamii wa Airtel Tunakujali unaowashirikisha wafanyakazi wake toka idara mbalimbali kusaidia kuchangia jamii katika mahitaji mbalimbali.

Caption 2

Meneja Udhibiti Mapato wa Airtel Hoolass Lochee (Kulia) pamoja na Afisa Ugavi Sophia Nyangasha (Kushoto)  wawakishiriki ujenzi wa paa katika Ofisi ya walimu inayojengwa kwa hisani ya wafanyakazi wa Airtel kama sehemu ya huduma kwa jamii,katika shule ya Msingi Mbezi Juu iliyopo Goba, jijini Dar es Salaam, Airtel kupitia mradi wake wa kusaidia jamii wa Airtel Tunakujali unaowashirikisha wafanyakazi wake toka idara mbalimbali kusaidia kuchangia jamii katika mahitaji mbalimbali

Caption 3

Wafanyakazi wa Airtel Tanzania kitengo cha Fedha na Manunuzi wakupiga picha ya pamoja  baada ya kushiriki katika ujenzi wa Ofisi ya Walimu inayojengwa kwa hisani ya wafanyakazi wa Airtel kama sehemu ya huduma kwa jamii,katika shule ya Msingi Mbezi Juu iliyopo Goba, jijini Dar es Salaam, Airtel kupitia mradi wake wa kusaidia jamii wa Airtel Tunakujali unaowashirikisha wafanyakazi wake toka idara mbalimbali kusaidia kuchangia jamii katika mahitaji mbalimbali

Caption 4

Wafanyakazi wa Airtel Tanzania kitengo cha Fedha na Manunuzi pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mbezi Juu  wakipiga picha ya pamoja  baada ya kushiriki katika ujenzi wa Ofisi ya Walimu inayojengwa kwa hisani ya wafanyakazi wa Airtel kama sehemu ya huduma kwa jamii,katika shule ya Msingi Mbezi Juu iliyopo Goba, jijini Dar es Salaam

Caption 5

Afisa Ugavi, Teddy Mkizungo akishiriki ujenzi wa  ofisi ya walimu inayojengwa kwa hisani ya wafanyakazi wa Airtel kama sehemu ya huduma kwa jamii,katika shule ya Msingi Mbezi Juu iliyopo Goba, jijini Dar es Salaam,  Airtel kupitia mradi wake wa kusaidia jamii wa Airtel Tunakujali unaoshirikisha wafanyakazi wake toka idara mbalimbali kusaidia kuchangia jamii katika mahitaji mbalimbali.

Leave a Comment