Meneja wa Burudani Maisha Basement, Hemed Kavu ‘HK’ (kushoto) akimkabidhi mshindi wa shindano la Malkia wa Msambwanda, Somoe Suya Omary (katikati) pikipiki na kadi yake pembeni yake ni mmoja wa MC wa shindano hilo, Maimatha wa Jesse. Fainali hiyo ilifanyika usiku wa kuamkia leo Maisha Basement jijini Dar.
Hemed Kavu ‘HK’ (kushoto) na Maimatha wa Jesse (kulia) wakiongea jambo baada ya kumkabidhi mshindi zawadi hiyo.
Super Nyamwela akionyesha uwezo wake wa kucheza.


