Staa wa filamu Bongo, Flora Mvungi
IMEBAINIKA! Kumbe staa wa filamu Bongo, Flora Mvungi ambaye ni mke wa Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Hamis Ramadhan ‘H. Baba’ alifeki ujauzito na kuwafanya baadhi ya mashabiki wake waamini kuwa alikuwa na ujauzito wa mtoto wa tatu.
Akizu-ngumza na Amani Flora ambaye ni mama wa watoto wawili, Tanzanite na Afrika alisema kuwa, mashabiki wake wengi walikuwa wakimjadili sana kuhusu kuzaa akaona bora awate-ngenezee ujauzito feki ili wanaopenda kuongea waache.
“Unajua mtu ukishika ujauzito wanasema unazaa haraharaka wakati hawahusiki kwenye maisha yako ndiyo maana nilifeki mimba ya tatu na kweli vidomo walifunga,” alisema Flora.
KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP
*********
JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU
KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA
INSTAGRAM: @Globalpublishers
ERIC SHIGONGO INSTAGRAM: @ericshigongo
TWITTER: @GlobalHabari
FACEBOOK: @GlobalPublishers
SUBSCRIBE YOU TUBE: Global TV Online
GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com
HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE:@shigongotz