Staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Malaika Exavery
STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Malaika Exavery hivi karibuni yalimkuta makubwa baada ya gari lake (Toyota Harrier Lexus) kunasa kwenye tope maeneo ya Kigamboni, Dar na kushindwa kutoka kwa muda na kusababisha umati umzunguke.
Akizungumza na Amani Malaika anayetamba na Wimbo wa Raruararua alisema siku hiyo alikuwa akitoka kurekodi Kigamboni hivyo hakujua sehemu anayopita kutakuwa na matope mazito yatakayo-sababisha garilake likwame.
“Sijawahi kutokewa na tatizo kama lile, sikuwa nikijua chochote kuhusiana na njia ile mara nikajikuta gari likishindwa kutoka. Kila mtu alinionea huruma ila nashukuru kuna gari lilitokea na kunivuta,” alisema Malaika.
KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP
*********
JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU
KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA
INSTAGRAM: @Globalpublishers
ERIC SHIGONGO INSTAGRAM: @ericshigongo
TWITTER: @GlobalHabari
FACEBOOK: @GlobalPublishers
SUBSCRIBE YOU TUBE: Global TV Online
GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com
HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE:@shigongotz