Mike Sangu na aliyekuwa mkewe, Salome Urassa ‘Thea’.
Na Hamida Hassan
Mastaa wa Filamu Bongo waliokuwa wanandoa, Mike Sangu na Salome Urassa ‘Thea’ wamepelekana kwa padri wa Kanisa la Katoliki Parokia ya Mwananyamala jijini Dar kwa ajili ya hatua ya kutalikiana.
Chanzo kilicho karibu na mastaa hao kilidai kuwa, Thea ndiye aliyekusanya picha anazoposti Mike kupitia ukurasa wake wa Instagram akiwa na mpenzi wake wa sasa aitwaye Eliza na kuzipeleka kwa mchungaji ili kushawishi apewe talaka yake.
Ili kujua ukweli wa habari hiyo, mwandishi wetu alimtafuta Mike, alipopatikana alisema: “Ni kweli niliitwa nikajieleza ingawa habari hizi nisingependa ziandikwe magazetini kwa sababu bado ziko ngazi ya kanisani,” alisema Mike huku Thea akigoma kuongea chochote akidai ni mambo yake binafsi.
KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP
*********
JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU
KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA
INSTAGRAM: @Globalpublishers
ERIC SHIGONGO INSTAGRAM: @ericshigongo
TWITTER: @GlobalHabari
FACEBOOK: @GlobalPublishers
SUBSCRIBE YOU TUBE: Global TV Online
GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com
HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE:@shigongotz