×

Taswira ya Msiba Nyumbani kwa Kabwe

1.Picha ya marehemu Willison Kebwe enzi za uhai wake.Picha ya marehemu Willison Kebwe enzi za uhai wake. 3.Taswira ya msibani hapo.Ndugu, jamaa na marafiki wakiwa kwenye maombolezo msibani hapo. 4.Wanafamilia wakijadiliana.5.Huzuni kwa waombolezaji ikiwa imetawala.

HII ni taswira ya msiba wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe ambaye amefariki usiku wa kuamkia leo.

Ndugu wa marehemu Kabwe wamesema taratibu za mazishi zinaendelea na kwamba marehemu ataagwa siku ya Jumanne nyumbani kwake, Uganda Avenue Masaki, jijini Dar es Salaam na kusafirishwa siku hiyo hiyo kwenda kwao, Kijiji cha Mamba wilayani Same mkoani Kilimanjaro ambako atazikwa kesho yake, Jumatano.

Mtandao huu umefika nyumbani kwake Masaki jijini Dar es Saalam, na kukuta waombolezaji wakiwa msibani hapo,huku wengine wakeindelea kufika kwa ajili ya kutoa pole kwa wafiwa.

PICHA NA DENIS MTIMA/GPL

KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP

*********

JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU

KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA

INSTAGRAM: @Globalpublishers

ERIC SHIGONGO INSTAGRAM: @ericshigongo

TWITTER: @GlobalHabari

FACEBOOK: @GlobalPublishers

SUBSCRIBE YOU TUBE: Global TV Online

GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com

HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE:@shigongotz

Leave a Comment