Global Publishers May 22, 2016 4,540 views 0 Comments
SHARE THIS:
Mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2015/16, Yanga leo wamehitimisha ligi hiyo kwa kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Majimaji kwenye mechi iliyopigwa katika Uwanja wa Majimaji, Songea mkoani Ruvuma.