×

Pichaz: Taifa Stars, Warabu Wajifua

IMG_7979 IMG_7986 IMG_7990 IMG_8020 IMG_8043 IMG_8127 IMG_8136 IMG_8140 IMG_8146 IMG_8181

Kikosi cha timu ya taifa Taifa Stars jana jioni kimefanya mazoezi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar na Timu ya Taifa ya Misri ilifanya mazoezi kwenye uwanja wa Gymkhana jijini Dar wakati timu zote zikijiwinda na mchezo wao utakaopigwa Juni 4 mwaka huu kwenye dimba la Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Leave a Comment