Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa championi wa ngumi za kulipwa duniani, Muhammad Ali ukiwasili kwa ajili ya mazishi katika taratibu za Kiislamu huko, Louisville, Kentucky, U.S. jana June 9, 2016.

Muhammad Ali enzi za uhai wake.
Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa championi wa ngumi za kulipwa duniani, Muhammad Ali ukiwasili kwa ajili ya mazishi katika taratibu za Kiislamu huko, Louisville, Kentucky, U.S. jana June 9, 2016.
Maelfu walihudhuria kuaga mwili wa Muhammad Ali, Louisville, Kentucky, U.S.
Wanawake wa Kiislamu wakiswali wakati wa kuaga mwili wa marehemu Muhammad Ali.
Picha za kumbukumbu zikichukuliwa.
Picha za kumbukumbu zikichukuliwa.
Shughuli ya kuaga ikiendelea.