×

Kilele cha Uelewa Kuhusu Ualbino chahitimishwa Dar

1.Miss Tanzania 2016 ambaye ni memavu wa Ngozi, Evelyn Felix akipa mkono Naibu Waziri Katika Ofisi ya Waziri Mkuu ,Sera,Kazi, Ajira, Bunge, Vijana na Walemavu Dkt. Adallah Possy.Miss Albino  2016 ambaye ni mlemavu wa ngozi, Evelyn Felix, akimpa mkono Naibu Waziri Katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Kazi, Ajira, Bunge, Vijana na Walemavu Dkt. Adallah Possy.

2.Evelyn (kulia) akipa mkono Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi katika maadhimisho hayo. - Copy (2)Evelyn (kulia) akimpa mkono Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi, katika maadhimisho hayo.

3.Risala ikisomwa kwa mgeni rasmi, Adallah Possy. - Copy (2)Risala ikisomwa kwa mgeni rasmi, Abdallah Possy.

4.Viongozi hao wakisikiliza hotuba iliyokuwa ikisomwa. - Copy (2)Meza kuu wakisikiliza hotuba iliyokuwa ikisomwa.

5.Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya ya IPP, dKT. Reginald Mengi akizungumza jambo wakati wa kilele hicho katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar. - Copy (2)Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya ya IPP, Dkt. Reginald  Mengi akizungumza jambo wakati wa kilele hicho.

7. Baadhi ya watu wenye ulemavu wa Ngozi,Albino wakiwa katika maadhimisho hayo. - Copy (2)Baadhi ya maalbino wakifuatilia hotuba iliyokuwa ikisomwa kwa mgeni rasmi.

6.Baadhi ya Walemavu wa Viungo vya Ngozi,Albino wakifanya biashara zao katika mabanda yaliyokuwepo Viwanjani hapo katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Albino. - Copy (2)Hapa baadhi wakifanya biashara zao katika mabanda yaliyokuwepo viwanjani hapo.

8..Maadhimisho yakiendelea viwanjani hapo. - Copy (2)Maadhimisho yakiendelea.

9.Miss Albino hapa nchini, Evelyn Felix (katikati) akiwa na warembo wenzaeke ambao ni mshindi wa pili na wa tatu. - Copy - CopyEvelyn (katikati) akiwa na warembo wenzake ambao ni mshindi wa pili na wa tatu.

10.Baadhi ya watu mbalimbali wakipiga picha ya pamoja na Miss Albino (katikatai)viwanjani hapo. - Copy - CopyBaadhi ya watu mbalimbali wakipiga picha ya pamoja na Evelyn.

NAIBU Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Kazi, Ajira, Bunge, Vijana na Walemavu, Dkt. Abdallah Possy, ameongoza kilele cha Siku ya Kimataifa ya Kuongeza Uelewa Kuhusu Ualbino jijini Dar es Salaam iliyoanza Juni 11 wiki iliyopita.

Maadhinisho hayo yamefanyika leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar  ambapo Possy ndiye alikuwa mgeni rasmi wa maadhimisho hayo.

Katika maadhimisho hayo pia viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi na Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi, alihudhuria hafla hiyo ambapo nasaha mbalimbali juu ya kuwathamini watu wenye ualbino zilitolewa, ikiwemo juu ya makundi maovu yanayofanya vitendo vya kuwaua.

Kauli mbiu ya mwaka huu ni  ‘Haki ya Ujumuishi, Haki ya Ushiriki Watoto Wenye Ualbino Wasikilizwe na Walindwe’.

NA DENIS MTIMA/GPL

KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP

*********

JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:

KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA

INSTAGRAM: @Globalpublishers

TWITTER: @GlobalHabari

FACEBOOK: @GlobalPublishers

SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers

GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com

HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz

 

Leave a Comment