Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Maalim Seif Sharif Hamad, Jumamosi June 18, 2016 alifanya mkutano na Watanzania waishio Jijini Washington DC nchini Marekani wakati akiwa katika ziara yake ya siku 14 Marekani na Canada.
TAZAMA VIDEO HAPA