×

Airtel Yakabidhi Msaada kwa Kituo cha Sarnaa Islamic Orphanage Center Mwanza

Pic 1 Afisa Masoko wa kanda ya ziwa wa Airtel , Emmanuel Raphael  akitoa msaada wa chakula kitakachotumika katika msimu huu wa Ramadhani kwa baadhi ya watoto kwaajili ya kituo cha Sarnaa Islamic Ophanage Center kilichoko mwanza. Kwa mwaka huu Airtel ilitenga zaidi ya shilingi milioni 10 kwaajili ya kuwasadidia watoto waishio katika mazingira magumu walioko katika vituo mbalimbali nchini.

Pic 1b

Afisa Masoko wa kanda ya ziwa wa Airtel , Emmanuel Raphael  akikabidhi msaada wa chakula kwa baadhi ya watoto kwaajili wa  kituo cha Sarnaa Islamic Ophanage Center kilichoko mwanza kwa ajili ya kufuturu wakati huu wa mfungo wa Ramadhani. Kwa mwaka huu Airtel ilitenga zaidi ya shilingi milioni 10 kwaajili ya kuwasadidia watoto waishio katika mazingira magumu walioko katika vituo mbalimbali nchini. Akishuhudia Mwalimu mkuu wa kituo cha Sarnaa Islamic Ophanage Center, Hashim Hussein

Pic 2

Afisa Masoko wa kanda ya ziwa wa Airtel , Emmanuel Raphael  pamoja na Meneja Mauzo wa Airtel , Joel Laizer wakikabidhi msaada wa chakula kwa baadhi ya watoto wa  kituo cha Sarnaa Islamic Ophanage Center kilichoko mwanza ili kuwawezesha kufuturu wakati huu wa mfungo wa Ramadhani. Kwa mwaka huu Airtel ilitenga zaidi ya shilingi milioni 10 kwaajili ya kuwasadidia watoto waishio katika mazingira magumu walioko katika vituo mbalimbali nchini.

Pic 3

 Afisa Masoko wa kanda ya ziwa wa Airtel , Emmanuel Raphael akimkabidhi  Mwalimu mkuu wa kituo cha Sarnaa Islamic Ophanage Center, Hashim Hussein msaada wa chakula  kwa ajili ya kufuturu wakati huu wa mfungo wa Ramadhani. Kwa mwaka huu Airtel ilitenga zaidi ya shilingi milioni 10 kwaajili ya kuwasadidia watoto waishio katika mazingira magumu walioko katika vituo mbalimbali nchini.

Leave a Comment