×

Droo Kubwa ya Shinda Nyumba… Wakati Umewadia!

Shinda nyumba final (1)

Shinda nyumba final (2)

Shinda nyumba final (3)

Shinda nyumba final (4)

Shinda nyumba final (5)

Shinda nyumba final (7)

Shinda nyumba final (8)

Shinda nyumba final (9)

Shinda nyumba final (10)

LEO ndiyo leo, ile bahati nasibu kabambe ya Shinda Nyumba na Global Publishers, droo kubwa itakayofanyika baadaye leo jioni katika Viwanja vya Mbagala – Zakhem Jijini Dar es Salaam ambapo mshindi atakabidhiwa nyumba iliyokamilika pamoja na fenicha zake zote.

Tayari shamrashamra za promosheni hiyo zimeshaanza, kwenye picha ni taswira ya wasomaji wa Magazeti Pendwa ya Global Publishers ambayo ni Amani, Ijuma, Championi, Risasi na Uwazi kuelekea droo hiyo.

Picha na Denis Mtima/GPL

Leave a Comment