×

Amepotea! Anatafutwa na Familia Yake

Bwana Philemon Anamwikira Ikaa Munuo
Bwana Philemon Anamwikira Ikaa Munuo,
Anayeoneka Kwenye Picha Hapo juu anaitwa Philemon Anamwikira Ikaa Munuo, umri miaka (61) ametoweka kuuanzia siku ya Jumatano tar. 29.06.2016 nyumbani kwake, Bunju B, Dar es Salaam.
Tafadhali yeyote atakaemuona apige simu Police au Kwenye number zifuatazao..0713449666 (Rich) 0754226760 (Tumsifu) 0713552828 (Rodrick) 0718555909 (Lucas) 0713481648 (Tumaini).
Tafadhali sambaza ujumbe huu.

Leave a Comment