×

Banda la GEPF lawa Kivutio kwa Wajasiriamali Maonesho ya Sabsaba Dar

1    Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mh Jenista Mhagama akipata maelezo kutoka kwa maafisa wa GEPF ya jinsi Mfuko ulivyofanikiwa kutoa huduma kwa wajasiriamali.

2

Pichani Mh Jenista Mhagama akitia saini kitabu cha kumbukumbu za wageni waliopita katika banda la GEPF.

3

Uzinduzi wa Bodaboda Scheme ulivutia wadau wengi wa sekta ya hifadhi ya jamii nchini. Pichani ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Prof. Godius Kahyarara baada ya kupata maelezo ya mafanikio ya Boda Boda Scheme kutoka kwa Afisa masoko Bw Valence Masebu.

4Wanachama wa Mfuko toka Jeshi la Polisi wakifurahia jambo na Afisa Masoko Bw Adam Hamza baada ya kukabidhiwa statements za michango yao.

5Pichani wajasiriamali (Mama lishe) wakijaza fomu za kujiunga na mpango maalum wa kujiwekea akiba ya uzeeni (VSRS) huku wakipatiwa maelezo na Afisa Masoko Bw Avit Nyambele.

Leave a Comment