Dadi Tematema akimpokelea dinner set Herman Haule wa Dodoma.
Dadi Tematema akitoa ushuhuda wa ndugu yake aliyekuja kumpokelea zawadi aitwae Herman Haule jinsi alivyokuwa akiyasoma Magazeti ya Global naye alivyokuwa akimuona anajisumbua
Dadi Tematema akitoka nje ya ofisi za Global na zawadi ya dinner set aliyompokelea ndugu yake, Herman Haule wa Dodoma.
Ester Josephat akionesha zawadi alizompokelea kaka yake, Godfrey Josephat wa Morogoro.
Ester Josephat akionesha zawadi alizompokelea kaka yake, Godfrey Josephat.
Johari Hamisi akimpokelea bed sheet Hawa Maulid wa Kigoma ambaye hakufika kutoka kwa Mhariri wa gazeti la Championi Jumamosi, Elius Kambili .
Mc aliyeendesha mchakato wa bahati nasibu hiyo tangu ilipoanza miezi 6 iliyopita, mc chaku shemungia naye akifurahia simu aliyokabidhiwa kama shukrani ya kundesha mchakato huo vizuri
Mc Chaku shemungia akimuhoji Mhariri wa gazeti la Championi Jumamosi, Elius kambili baada ya kumaliza mchakato wa kugawa zawadi
Mshindi wa king’amuzi, Wilbert Jacob akihojiwa na wanahabari baada ya kukabidhiwa king’amuzi chake
Mwakilish wa Ting, Betty Bonzon akimkabidhi king’amuzi cha Ting, mshindi Wilbert Jacob
Mwalishi wa Ting, Betty Bonzon (kushoto) akimkabidhi kingamuzi na dishi, Edward Mwakapila kwa niaba ya mshindi Baltazari Mrosso
Washindi katika picha ya pamoja
PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL