×

Lil Ommy wa Times FM afunga ndoa na Shamimu Mlacha wa ITV

97cd9a0f-c607-440d-ae62-1e796e1a40ed c65d6a69-5155-4f4f-92e6-75dc268775b2 e267e222-6ffe-4673-9ccc-985e16283cb9-1

Mtangazaji wa kituo cha redio cha Times FM, Omary Tambwe ‘Lil Ommy’ akiwa na mke wake Shamimu Mlacha.

Mtangazaji wa kituo cha redio cha Times FM, Omary Tambwe ‘Lil Ommy’ jana amefunga ndoa na mwanahabari mwenzie, Shamimu Mlacha ambaye ni mtangazaji wa kituo cha runinga cha ITV.

Leave a Comment