Wasomaji wa Gazeti la Championi wakilichangamkia kulinunua kwa Muuza Magazeti ya Global,(katikati) Mwamvita Rashid.
Shabiki wa Timu ya Simba akilisoma Gazeti la Championi.
Mashabiki wa Timu ya Simba wakilisoma Gazeti la Championi.
…Wasomaji wa Championi wakionekana kulifurahia gazeti hilo.
Mashabiki wakipozi na Gazeti la Championi.
Msomaji wa Championi akimuonesha muuzaji wa gazeti hilo, Mwamvita Rashid (kushoto) habari kubwa iliyokuwa ukurasa wa mbele.
Msomaji akinyoosha mkono kuonesha gazeti hilo ni namba moja hapa nchini.
Msomaji wa Championi akinunua gazeti hilo kwa Mwamvita.
Msomaji wa Championi akipozi na Mwamvita.
Ofisa Masoko wa Global, Yohana Mkanda (katikati mwenye fulana nyeupe) akipozi na wasomaji wa championi.
Wasomaji wa Championi wakiwa na tiketi zao baada ya kununua Gazeti la Championi.
.Ofisa Masoko wa Global, Yohana Mkanda akimpatia msomaji zawadi ya tiketi baada ya kununua gazeti hilo.
Msomaji wa Championi akilisoma gazeti hilo.
GAZETI la Michezo Namba Moja Nchini la Championi Jumatatu leo ikiwa ni siku ya kusherehekea siku yake ya kuanzimishwa (Simba Day) lilichangamkiwa na wasomaji wake kwa kulinunua kwa wingi nje ya Uwanja wa Michezo wa Taifa jijini Dar es Salaam na kutoa tiketi kwa mashabiki wa timu hiyo.
Mashabiki hao walijinyakulia tiketi hizo baada ya kulinunua Gazeti la Championi ambapo pia Ofisa Masoko wa Global, Yohana Mkanda alisema:
“Lengo letu ni kuimarisha uhusiano kati yetu na mashabiki wa soka ambao ndiyo wadau wakubwa wa Gazeti la Championi, tutaendelea kugawa zawadi mbalimbali kutoka magazeti yetu.
NA DENIS MTIMA/GPL
Binti wa Miaka 19 Aliye Tembea na Wake za Watu Ndiye Huyu Hapa-Part I
PT 2- Binti wa Miaka 19 Aliye Tembea na Wake za Watu Ndiye Huyu Hapa-Part I
Mzungu Dar Afumwa Live Akilawitiwa na Vijana 3, O.F.M Yanyaka Tukio Zima