×

PICHA: Rais JPM Atembelea Eneo Lililokuwa na Nyumba za Magomeni Kota

ko1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongozana na Waziri wa Ardhi Mhe John Lukuvi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul Makonda, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Ali Hapi na viongozi wengine akitembelea eneo lililokuwa Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016.

ko2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na mwenyekiti wa waliokuwa wakaazi wa nyumba za Magomeni Kota Bw. George Abdi wakati alipotembelea na kuongea na wakaazi hao wa Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016.

ko7

ko3

ko4

ko8

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia alipotembelea na kuongea na wakaazi wa Magomeni Kota wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016.

ko5

ko6

Wananchi wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  alipotembelea na kuongea na wakaazi hao wa Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016.

ko9

Kiongozi wa wakaazi wa nyumba za Magomeni Kota Bi Mwajuma Sama akiongea machache na kuomba dua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea na kuongea na wakaazi hao wa Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016.

ko10

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimfariji Bi. Mwajuma Sama kwa taabu walizopata yeye kiongozi na wakaazi wenziye wa Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016.

ko11

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisindikizwa na Meya wa Kinondoni Mstahiki Boniface Jacob alipotembelea na kuongea na wakaazi wa iliyokuwa Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016.

ko12Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimshukuru wakili Twaha Taslima wa Law Chambers kwa kusimamia vyema masuala ya mgogoro wa eneo iliyokuwa Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016.

PICHA NA IKULU

Leave a Comment