×

Ajali Yaua 11 Na Kujeruhi 7 Mwanza

ajali-mwanza-4Mashuhuda wakiwa eneo la tukio.

ajali-mwanza-1Hiace ikiwa imeharibika vibaya baada ya ajali hiyo.ajali-mwanza-2Baada ya ajali hiyo.

 

ajali-mwanza-3Baadhi ya mashuhuda wa ajali hiyo wakiwa eneo la tukio.

KWIMBA, MWANZA, Basi la Super Shem kutoka Mbeya kwenda Mwaza leo limegongana na Hiace na kusababisha vifo 11 na wengine 7 kujeruhiwa Nghungumalwa wilayani Kwimba.

Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo.