Magufuli Atengua Uteuzi Wa Mwenyekiti LAPF Global Publishers September 21, 2016 SHARE THIS: Barua kuhusu kusitishwa kwa uteuzi huo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo ameivunja bodi ya Udhamini ya mfuko wa pensheni wa LAPF na kutengua uteuzi wa Mwenyekiti wake Profesa Hasa Mlawa. SHARE THIS: