×

Lulu Diva ft Barnaba – Milele (Official Video)

lulu-dina-12Muuza sura kwenye video za Kibongo na msanii mpya wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva,’ akiwa Global TV Online kutambulisha wimbo wake wa kwanza wa Milele amemshirikisha Barnaba.