×

Viongozi wa Wamada Watembelea Ofisi za Global Publishers

wauza-magazeti-dar-7 Chama cha Wauza Magazeti Dar es Salaam (WAMADA), wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya viongozi na Wahariri wa Magazeti yanayochapishwa na Kampuni ya Global Publishers.

wauza-magazeti-dar-8

wauza-magazeti-dar-1Mhariri Kiongozi wa Magazeti Pendwa ya Global Publishers, Oscar Ndauka (kushoto) pamoja na Mhasibu Mkuu, Bw. Lawrence Kabende.

Baadhi ya viongozi wapya na wanaomaliza muda wao wa Chama cha Wauza Magazeti Dar es Salaam (WAMADA), wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa idara mbalimbali wa Kampuni ya Global Publishers.

Picha na Musa Mateja | GPL

 

Lady Jaydee Amtambulisha Mpenzi Wake Mpya , Agoma Kumsaidia Ray C