BillNass ft MwanaFA - Wamepakua Video ya Ngoma Mpya Inaitwa Mazoea - Global Publishers
Imewekwa na on January 19th, 2017 , 12:48:28pm

BillNass ft MwanaFA – Wamepakua Video ya Ngoma Mpya Inaitwa Mazoea

bilnas-na-mwana-faIKIWA ni baada ya kufanya vizuri na wimbo wake wa Chafu Pozi, rapa BillNass ameachia video ya wimbo wake mpya aliomshirikishwa Mwana FA unaokwenda kwa jina la Mazoea.

Tazama video hiyo na kupakua hapahapa.

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana