×

Mshindi wa Chemsha Bongo ya Shinda Nyumba kwa Leo ni Jafar Nzowa

Mshindi wa Chemsha Bongo ya #ShindaNyumba2 kwa leo ni Jafar Nzowa amwenye namba za simu 0752826061. ‘Alikomenti’ kupitia tovuti ya Global Publishers.
 
Tayari tumemtumia zawadi yake ambayo ni vocha ya mawasiliano ya simu ya Tsh. 5000/= na amekwishaingiza kwenye simu yake. Endelea kufuatilia stori kwenye mitandao wetu wa Global Publishers ili ushiriki na kushinda Chemsha Bongo nyingi zaidi.