×

Global FC yatikisa Sinza Boys Veterani, Yaipiga Bao 1-0

global-fc-6

Kikosi cha Sinza Boys Veterani kilichoanza dhidi ya Global FC siku ya jana. Global FC imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Sinza Boys Veterani uliofanyika kwenye Uwanja wa CCM Sinza.

global-fc-2

Kikosi cha Global FC.

global-fc-3

Wachezaji wa Sinza Boys Veterani wakipasha.

global-fc-7

Wachezaji wa Global wakipasha.

TIMU ya soka ya Global Publishers ‘Global FC’,jana Ijumaa imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Sinza Boys Veterani uliofanyika kwenye Uwanja wa CCM Sinza.
Bao hilo la Global FC katika mechi hiyo iliyokuwa na ushindani mkubwa lilifunga na mshambuliaji wake machachari, Boniface Ngumije katika dakika 20 baada ya kupokea pasi matata kutoka Wilbert Molandi.
Mechi hiyo ni ya kwanza kwa Global Publishers kucheza tangu kuanza kwa mwaka huu wa 2017.

Baby Madaha Amshangaa Jini Kabula Kuokoka