×

Serikali Yapitisha Kanuni za Sheria za Huduma ya Habari ya 2016, Zisome Hapa!

Serikali yapitisha kanuni za Sheria za Huduma ya Habari ya MWAKA 2016 zinazomzuia mgeni kumiliki zaidi ya asilimia 49 za kampuni ya uchapishaji.

Kanuni Za Sheria Za Huduma Za Habari Za Mwaka 2016