×

DC Ilala Azindua Kampeni ya Mazoezi

MKUU wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema leo amezindua kampeni maalum ya kufanya mazoezi katika wilaya yake ambapo wananchi watakuwa wakifanya mazoezi hayo kila mwisho wa mwezi.

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akizungumza jambo baada ya kumalizika kwa mazoezi.
…akifanya mazoezi na baadhi ya wadau wa mazoezi.
Baadhi ya washiriki wa kampeni hiyo wakiwa wamepumzika baada ya mazoezi.

 

Washiriki wakiwa katika picha ya pamoja.
washiriki mbalimbali.

 

Baadhi ya washiriki wakiwa katika pozi na Sophia.

Akiizungumza kampeni hiyo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar, mkuu huyo wa wilaya alisema kwamba mazoezi hujenga afya bora lakini pia huzuia magonjwa nyemelezi hivyo ni muhimu sana kila mwananchi kuhakikisha anafanya mazoezi kwa ajili ya afya.
Kauli mbiu ya kampeni hiyo inasema Afya ni Mtaji wa Maendeleo, Nitailinda kwa Gharama Nafuu kwa Kufanya Mazoezi
NA DENIS MTIMA/GPL

 

Kwa stori zote kali, Tu-follow

Facebook @Globalpublishers

Twitter @GlobalHabari

Instagram @GlobalPublishers

YouTube @GlobalTVTZ