×

Makonda: Awamu ya 3 Imekamilika, Kuanika Wengine Jumanne Hii Feb. 13

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kuwa, awamu ya tatu ya kusaka wale wote wanaojihusisha na mtandao wa biashara haramu za dawa za kulevya imekamilia.

Makonda amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram na kusema kuwa anataka kuonan na wanahabari Jumannw hii, Februari 13, 2017  katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere kuanzia saa 4 asubuhi.

Alivyoandika

“Awamu ya tatu imekamilika, naomba tukutane kesho katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere kuanzia saa 4 asubuhi.”