MCHEZO kati ya Yanga na Mtibwa Sugar uliyochezwa katika Uwanja wa Jamhuri, Morogoro umemalizika kwa suluhu. Timu hizo zimememnayana leo huku Yanga ikicheza kwa hofu na nguvu ya zaidi ili iongoze ligi.